\p \v=17 \v~=Mungu akamsikiliza Lea, naye akapata mimba akamzalia Yakobo mwana wa tano. \¬v