\v=18 \v~=Ndipo Lea akasema, “Mungu amenizawadia kwa kumpa mume wangu mtumishi wangu wa kike.” Kwa hiyo akamwita Isakari.\f + \fr 30:18 \ft Isakari maana yake Zawadi, yaani Mungu amenizawadia.\f* \¬v \¬p