\v=20 \v~=Ndipo Lea aliposema, “Mungu amenizawadia kwa zawadi ya thamani sana. Wakati huu mume wangu ataniheshimu kwa sababu nimemzalia wana sita.” Kwa hiyo akamwita Zabuloni.\f + \fr 30:20 \ft Zabuloni maana yake Heshima.\f* \¬v \¬p