\p \v=27 \v~=Lakini Labani akamwambia, “Ikiwa nimepata kibali machoni pako, tafadhali ukae. Nimegundua kwa njia ya uaguzi kwamba \nd Bwana\nd* amenibariki kwa sababu yako.” \¬v