\v=6 \v~=Ndipo Raheli akasema, “Mungu amenipa haki yangu, amesikiliza maombi yangu na kunipa mwana.” Kwa sababu hiyo akamwita Dani.\f + \fr 30:6 \ft Dani maana yake Anahukumu, yaani Mungu amenipa haki yangu.\f* \¬v \¬p