\v=8 \v~=Ndipo Raheli akasema, “Nilikuwa na mashindano makubwa na ndugu yangu, nami nimeshinda.” Kwa hiyo akamwita Naftali.\f + \fr 30:8 \ft Naftali maana yake Nimeshindana nami nimeshinda.\f* \¬v \¬p