\p \v=3 \v~=Ndipo \nd Bwana\nd* akamwambia Yakobo, “Rudi katika nchi ya baba zako na kwa watu wako, nami nitakuwa pamoja nawe.” \¬v \¬p