\v=47 \v~=Labani akaliita Yegar-Sahadutha\f + \fr 31:47 \ft Yegar-Sahadutha maana yake ni Lundo la ushahidi kwa Kiaramu.\f* na Yakobo akaliita Galeedi.\f + \fr 31:47 \ft Galeedi maana yake ni Lundo la ushahidi kwa Kiebrania.\f* \¬v \¬p