\v=2 \v~=Yakobo alipowaona, akasema, “Hii ni kambi ya Mungu!” Kwa hiyo akapaita mahali pale Mahanaimu.\f + \fr 32:2 \ft Mahanaimu maana yake Kambi mbili.\f* \¬v \¬p