\p \v=28 \v~=Ndipo yule mtu akasema, “Jina lako halitakuwa tena Yakobo, bali Israeli,\f + \fr 32:28 \ft Israeli maana yake Yeye ashindanaye na Mungu.\f* kwa sababu umeshindana na Mungu na watu pia, nawe umeshinda.” \¬v \¬p