\p \v=30 \v~=Kwa hiyo Yakobo akapaita mahali pale Penieli,\f + \fr 32:30 \ft Penieli maana yake Uso wa Mungu, ambalo ni sawa na Penueli kwa Kiebrania.\f* akasema, “Ni kwa sababu nimemwona Mungu uso kwa uso na bado maisha yangu yameokoka.” \¬v \¬p