\v=17 \v~=Pamoja na hayo, Yakobo akaenda Sukothi,\f + \fr 33:17 \ft Sukothi maana yake Vibanda.\f* mahali alipojijengea makazi kwa ajili yake na mabanda kwa ajili ya mifugo yake. Hii ndiyo sababu sehemu ile inaitwa Sukothi. \¬v \¬p