\p \v=11 \v~=Mungu akamwambia, “Mimi ndimi Mungu Mwenyezi,\f + \fr 35:11 \ft Mungu Mwenyezi hapa ni jina la Kiebrania, El-Shaddai (yaani Mungu Mwenye utoshelevu wote).\f* ukazae na kuongezeka. Taifa na jamii ya mataifa itatoka kwako, nao wafalme watatoka viunoni mwako. \¬v