\v=18 \v~=Hapo alipopumua pumzi yake ya mwisho, kwa maana alikuwa akifa, akamwita mwanawe Benoni.\f + \fr 35:18 \ft Benoni maana yake Mwana wa huzuni yangu.\f* Lakini babaye akamwita Benyamini.\f + \fr 35:18 \ft Benyamini maana yake Mwana wa mkono wangu wa kuume.\f* \¬v \¬p