\v=7 \v~=Huko akajenga madhabahu na akapaita mahali pale El-Betheli,\f + \fr 35:7 \ft El-Betheli maana yake Mungu wa Betheli.\f* kwa sababu mahali pale ndipo Mungu alipojifunua kwake alipokuwa akimkimbia ndugu yake. \¬v \¬p