\p \v=8 \v~=Wakati huu Debora, mlezi wa Rebeka, akafa na akazikwa chini ya mti wa mwaloni ulioko chini ya Betheli. Kwa hiyo pakaitwa Alon-Bakuthi.\f + \fr 35:8 \ft Alon-Bakuthi maana yake Mwaloni wa Kilio.\f* \¬v \¬p