\p \v=28 \v~=Kwa hiyo wale wafanyabiashara Wamidiani walipofika pale, ndugu zake wakamtoa Yosefu kutoka kwenye lile shimo, na kumuuza kwa shekeli ishirini\f + \fr 37:28 \ft Shekeli 20 ni sawa na gramu 200.\f* za fedha kwa wale Waishmaeli, ambao walimpeleka Misri. \¬v \¬p