\p \v=31 \v~=Kisha wakalichukua lile joho la Yosefu, wakachinja mbuzi na kulichovya katika damu. \¬v