\p \v=2 \v~=\nd Bwana\nd* alikuwa pamoja na Yosefu, naye akastawi, Yosefu akaishi nyumbani kwa bwana wake Mmisri. \¬v