\p \v=13 \v~=Ndipo \nd Bwana\nd* Mungu akamuuliza mwanamke, “Ni nini hili ambalo umelifanya?” Mwanamke akajibu, “Nyoka alinidanganya, nami nikala.” \¬v \¬p