\p \v=8 \v~=Ndipo yule mwanaume na mkewe, waliposikia sauti ya \nd Bwana\nd* Mungu alipokuwa akitembea bustanini jioni, wakajificha kutoka mbele za \nd Bwana\nd* Mungu katikati ya miti ya bustani. \¬v