\p \v=12 \v~=Yosefu akamwambia, “Hii ndiyo maana yake: Matawi matatu ni siku tatu. \¬v