\p \v=18 \v~=Yosefu akamwambia, “Hii ndiyo maana yake: Vikapu vitatu ni siku tatu. \¬v