\v=45 \v~=Farao akamwita Yosefu Safenath-Panea, pia akampa Asenathi binti Potifera, kuhani wa mji wa Oni,\f + \fr 41:45 \ft Yaani Heliopoli (Mji wa Jua).\f* kuwa mke wake. Ndipo Yosefu akaitembelea nchi yote ya Misri. \¬v \¬p