\p \v=31 \v~=Baada ya kunawa uso wake, akatoka nje na huku akijizuia akasema, “Pakueni chakula.” \¬v \¬p