\p \v=3 \v~=Kulipopambazuka, hao watu wakaruhusiwa kuondoka pamoja na punda zao. \¬v