\v=24 \v~=Akaagana na ndugu zake walipokuwa wakiondoka, akawaambia, “Msigombane njiani!” \¬v \¬p