\p \v=25 \v~=Basi wakatoka Misri na kufika kwa baba yao Yakobo katika nchi ya Kanaani. \¬v