\v=20 \v~=Huko Misri, Asenathi binti wa Potifera, aliyekuwa kuhani wa mji wa Oni,\f + \fr 46:20 \ft Yaani Heliopoli (Mji wa Jua).\f* alimzalia Yosefu wana wawili, Manase na Efraimu. \¬v \¬li2