\p \v=3 \v~=Yakobo akamwambia Yosefu, “Mungu Mwenyezi\f + \fr 48:3 \ft Mungu Mwenyezi hapa ni jina la Kiebrania, El-Shaddai (yaani Mungu Mwenye utoshelevu wote).\f* alinitokea huko Luzu katika nchi ya Kanaani, huko akanibariki, \¬v