\p \v=10 \v~=\nd Bwana\nd* akasema, “Umefanya nini? Sikiliza! Damu ya ndugu yako inanililia mimi kutoka ardhini. \¬v