\p \v=15 \v~=Lakini \nd Bwana\nd* akamwambia, “La sivyo, ikiwa mtu yeyote atamuua Kaini atalipizwa kisasi mara saba zaidi.” Kisha \nd Bwana\nd* akamwekea Kaini alama ili mtu yeyote ambaye angemwona asimuue. \¬v