\v=16 \v~=Kwa hiyo Kaini akaondoka mbele za \nd Bwana\nd* akaenda kuishi katika nchi ya Nodi, iliyoko mashariki ya Edeni. \¬v \¬p