\v=11 \v~=Wakanaani walioishi huko walipoona maombolezo yaliyofanyika katika sakafu ile ya kupuria ya Atadi, wakasema, “Wamisri wanafanya maombolezo makubwa.” Kwa hiyo mahali pale karibu na Yordani pakaitwa Abel-Mizraimu.\f + \fr 50:11 \ft Abel-Mizraimu maana yake Maombolezo ya Wamisri.\f* \¬v \¬p