\v=15 \v~=Hivi ndivyo utakavyoitengeneza: Safina iwe na urefu wa dhiraa 300,\f + \fr 6:15 \ft Dhiraa 300 ni sawa na mita 135.\f* upana wake dhiraa hamsini\f + \fr 6:15 \ft Dhiraa 50 ni sawa na mita 22:5.\f* na kimo chake dhiraa thelathini.\f + \fr 6:15 \ft Dhiraa 30 ni sawa na mita 13:5.\f* \¬v