\v=16 \v~=Itengenezee paa na umalizie safina kwa kuacha nafasi ya dhiraa moja\f + \fr 6:16 \ft Dhiraa moja ni sawa na sentimita 45.\f* juu. Weka mlango ubavuni mwa safina, na uifanye ya ghorofa ya chini, ya kati na ya juu. \¬v