\p \c#=7 \v=1 \v~=Ndipo \nd Bwana\nd* akamwambia Noa, “Ingia katika safina wewe na jamaa yako yote, kwa sababu katika kizazi hiki nimeona ya kuwa wewe ni mwenye haki. \¬v