\v=20 \v~=Maji yakaendelea kujaa yakaifunika milima kwa kina cha zaidi ya dhiraa kumi na tano.\f + \fr 7:20 \ft Dhiraa 15 ni sawa na mita 7.\f* \¬v