\b \p \v=12 \v~=Kisha Zerubabeli mwana wa Shealtieli, Yoshua kuhani mkuu mwana wa Yehosadaki, pamoja na mabaki yote ya watu wakaitii sauti ya \nd Bwana\nd* Mungu wao pamoja na ujumbe wa nabii Hagai, kwa sababu alikuwa ametumwa na \nd Bwana\nd* Mungu wao. Watu walimwogopa \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p