\p \v=13 \v~=Kisha Hagai, mjumbe wa \nd Bwana\nd*, akawapa watu ujumbe huu wa \nd Bwana\nd*: “Mimi niko pamoja nanyi,” asema \nd Bwana\nd*. \¬v