\p \v=14 \v~=Kisha Hagai akasema, “ ‘Basi ndivyo walivyo machoni pangu hawa watu na taifa hili,’ asema \nd Bwana\nd*. ‘Lolote wafanyalo na chochote watoacho hapo ni najisi. \¬v \¬p