\v=4 \v~=Lakini sasa uwe imara, ee Zerubabeli,’ asema \nd Bwana\nd*. ‘Kuwa imara, ee kuhani mkuu Yoshua mwana wa Yehosadaki. Mwe imara, enyi watu wote wa nchi,’ asema \nd Bwana\nd*, ‘na mfanye kazi. Kwa kuwa mimi nipo pamoja nanyi,’ asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote. \¬v