\p \v=6 \v~=“Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote: ‘Baada ya muda kidogo kwa mara nyingine nitazitikisa mbingu na nchi, bahari na nchi kavu. \¬v