\v=7 \v~=Nitatikisa mataifa yote, nacho kile kinachotamaniwa na mataifa yote kitakuja, nami nitaujaza utukufu katika nyumba hii,’ asema \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote. \¬v