\p \v=30 \v~=Kwa imani kuta za Yeriko zilianguka, baada ya watu kuzizunguka kwa siku saba. \¬v \¬p