\m \v=22 \v~=Kwa ajili ya kiapo hiki, Yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi. \¬v \¬m