\c=1 \p \c#=1 \v=1 \v~=Neno la \nd Bwana\nd* lililomjia Hosea mwana wa Beeri wakati wa utawala wa Uzia, Yothamu, Ahazi na Hezekia, wafalme wa Yuda, na wakati wa utawala wa Yeroboamu mwana wa Yehoashi, mfalme wa Israeli. \¬v \¬p