\p \v=4 \v~=Kisha \nd Bwana\nd* akamwambia Hosea, “Mwite Yezreeli,\f + \fr 1:4 \ft Yezreeli maana yake Mungu hupanda.\f* kwa kuwa kitambo kidogo nitaiadhibu nyumba ya Yehu kwa ajili ya mauaji ya kule Yezreeli, nami nitaukomesha ufalme wa Israeli. \¬v