\p \v=6 \v~=Gomeri akachukua tena mimba akamzaa binti. Kisha \nd Bwana\nd* akamwambia Hosea, “Mwite Lo-Ruhama,\f + \fr 1:6 \ft Lo-Ruhama maana yake Sio mpenzi wangu.\f* kwa maana sitaonyesha tena upendo kwa nyumba ya Israeli, kwamba nisije kabisa nikawasamehe. \¬v