\v=7 \v~=Hata hivyo nitaonyesha upendo kwa nyumba ya Yuda, nami nitawaokoa si kwa upinde, upanga au vita, wala kwa farasi na wapanda farasi, bali kwa njia ya \nd Bwana\nd* Mungu wao.” \¬v \¬p